×

Video: Shoo Ya Marioo, G Nako, Maua Sama, Moshi, Full Shangwe!


Shindano la Kili Marathon 2020 limeshatua wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kuimarisha afya kwa mazoezi ya kukimbia.

Shindano hilo limesindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo Marioo, Mimi Mars, G Nako na Maua Sama..

Leave a Comment