Maajabu ya Chacha: Anaishi Porini, Apewa Kichanga Akizike – Video
Global Publishers March 3, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Binadamu tumekuwa tukikutana na mikasa katika maisha ambayo inabaki kuwa funzo na mara nyingine huwa kama alama au bahati. Kijana Chacha ambae amekuwa akiishi porini peke yake anasimulia changamoto zakutisha zinazomkabili akiwa ndani ya pori.