Ni maajabu unaweza kusema, baba mmoja mwenye umri wa miaka 40 mkazi wa Mburahati Jijini Dar es salaam, amekuwa akipitia mateso makali baada ya kuhisi kuna wadudu wanatembea ndani ya mguu wake huku hospitali akiambiwa inahitajika pesa kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa kuwatoa wadudu hao.
