Mgonjwa wa kwanza wa virusi vya corona nchini Tanzania Isabela Mwampamba amezungunza kwa njia ya simu na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu mbele ya Wanahabari na kusema anaendelea vizuri. “Nimeleta taharuki naomba msamaha, niwatoe hofu tu kwa sasa siumwi chochote.”
