×

Video: AJALI Mbaya ILIVYOUA WATU IRINGA, MASHUHUDA, DC Wasimulia – “MAJERUHI 10”


Usiku wa kuamkia leo watu saba wamepoteza maisha katika ajali iliyotokea mkoani Iringa baada ya magari kugongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu hao na majeruhi kumi.

Leave a Comment