×

Breaking: Kisa Corona, Spika Azuia Wageni, Wabunge Nao… -Video

BUNGE  limesitisha utaratibu wa kupokea wageni mbalimbali wakiwamo wanafunzi wanaokwenda kujifunza shughuli za bunge.

Spika wa Bunge, Job Ndugai,  ameelekeza hivyo leo, Alhamisi 19 Machi, 2020 akisema wageni watakaoruhusiwa ni wale wenye kazi na vibali maalumu tu, huo ukiwa mmoja wa mikakati ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

Leave a Comment