×

Rais JPM Amlilia Marin Hassan wa TBC

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba kufuatia kifo cha mfanyakazi wa Shirika hilo, Marin Hassan Marin kilichotokea asubuhi ya leo Aprili 1, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam.

Leave a Comment