×

Magonjwa Hatari Yaliyotikisa Dunia na Kuua Mamilioni ya Watu – Video

‘THE BLACK DEATH’ Ni Ugonjwa ulioathiri zaidi bara la ulaya na ukanda wa mediterania miaka ya 1346 hadi 1353, ambapo watu zaidi ya milioni 200 walifariki kutokana na ugonjwa huo.

 

Ugonjwa huo husababishwa na bakteria anayejulikana kitaalam kama “Yersinia Pestis”, bacteria ambao hupatikana katika baadhi ya wanyama wadogo kama panya, paka, mbwa wenye viroboto.

 

Leave a Comment