NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza, leo Aprili 08, jijini Dodoma, amesema kwamba mshindi wa shindano la Bongo Star Search (2019) Meshack Fukuta, hajalipwa fedha za zawadi yake hadi leo.