MTOTO wa Malkia wa Taarab nchini Tanzania, Khadija Kopa, Zuchu baada ya kutambulishwa kuwa msanii mpya wa kike katika lebo ya WCB inayoongozwa na Diamond ameachia wimbo wa Wana.