×

Matarajio ya Hali Mbaya ya Hewa kwa Siku Tano Zijazo

HABARI:- Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) imetoa angalizo la kunyesha kwa mvua kubwa na za wastani kwa mikoa saba nchini ikiwemo Lindi, Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Pwani,  visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba.

 

Leave a Comment