×

Corona: Serikali ya Zanzibar Yasitisha Mikutano na Wanahabari

Katika kujikinga dhidi ya virusi vya corona, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetangaza kusitisha mikutano na waandishi wa habari na shughuli nyengine zitazofanya waandishi wa habari kukusanyika. Taarifa kuhusu #COVID-19 zitatolewa kupita taarifa kwa umma au kurushwa ZBC.

Leave a Comment