Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 94 Global Publishers April 16, 2020 0 Comments SHARE THIS: Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya wa corona sita nchini na kufikia wagonjwa 24 kutoka 18 ambao walitolewa taarifa Aprili 15, 2020. Hivyo Tanzania kwa ujumla ina visa vilivyoripotiwa 94 vya wagonjwa wa #covid19. SHARE THIS: