Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (Wapili kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa nne toka kulia), ili kusaidia juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo ( Watatu kulia),Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation, Rosalynn Mworia (Wa pili kushoto) na Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom, Alex Bitekeye .
Hisham Hendi (kulia) akizungumza wakati wa makabidhiano ya hundi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu.
Matukio katika Picha;




