Rais Magufuli Atoa Msamaha Kwa Wafungwa 3,973 Global Publishers April 26, 2020 0 Comments SHARE THIS: Rais Dkt John Pombe Magufuli ametoa msamaha wa wafungwa 3973, ambapo kati yake wafungwa 3717 wamesamehewa vifungo vyao,na Wafungwa 256 waliokuwa wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa hadi kufa wamebadilishiwa adhabu hiyo. SHARE THIS: