×

Mama Rwakatare Aagwa Tena Kanisani, Waumini Vilio – Video

IKIWA ni siku chache tangu aliyekuwa askofu wa kanisa la Mlima wa Moto, Getrude Rwakatare, azikwe katika viwanja vya kanisa lake, waumini wake waliokosa nafasi ya kumuaga siku ya mazishi, wamepata nafasi ya kuweka maua kwenye kaburi lake na kufanya ibada maalum ya kumuombea.

Leave a Comment