×

Wenye Virusi vya Corona Uganda Wafika 89

WIZARA ya Afya nchini Uganda imesema kuna ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 89 huku waliopona wakifikia watu 52 na hakuna kifo mpaka sasa.

 

Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni,  leo jioni atalihutubia taifa hilo kuhusu hatua zaidi baada ya siku 21 za watu kubakia majumbani (lock down) kukamilika kesho.

Leave a Comment