×

Rais JPM Ateua DC Mtwara

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Delphine Magere kuwa RAS Pwani akichukua nafasi ya Theresia Mmbando ambaye amestaafu, Rais Magufuli amemteua pia Dunstan Kyobya kuwa DC Mtwara akichukua nafasi ya Evod Mmanda aliyefariki Dunia, Kyobya alikuwa Mshauri wa Rais katika masuala ya sheria.

Leave a Comment