Global Publishers May 8, 2020 4,588 views 0 Comments
SHARE THIS:
Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa covid 19 visiwani Zanzibar na kufikia idadi ya wagonjwa wa corona 134 kutoka wagonjwa 105 waliotolewa taarifa Aprili 26 mwaka huu.