×

DC Mjema Apokea Vifaa Kinga Ya Corona Kutoka Cocacola

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akizunguzma jambo wakatia akipokea msaada kutoka Kampuni ya Cocacola Kwanza.
Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Coca Cola Kwanza, Victor Byemelwa (katikati) akizungumza jambo katika hafla hiyo.
Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Coca Cola Kwanza, Victor Byemelwa na  Mrisho Mpoto ambaye ni Balozi wa  Kampeni ya kitaifa ya ‘mikonosafitanzaniasalama’.

 

Katika kuunga mkono juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kujikinga na ugonjwa wa hatari wa Corona (COVID -19) Kampuni ya Vinywaji ya Cocacola_kwanza imekabidhi vifaa saidizi vya kujikinga na ugonjwa kwa Mkuu wa wilaya ya Ilala, Bi Sophia_Mjema na kwa kupitia Kampeni ya kitaifa ya ‘mikonosafitanzaniasalama’ inayoongozwa na Mrisho Mpoto ikiwa ni mchango wao kwa jamii ili kuimarisha na kusaidia jamii iliomstari wa mbele katika kukabiriana na ugonjwa huo na kuleta jamii ilio huru na magonjwa.

Vifaa hivyo ni pamoja na Barakoa, Gloves, Matenki ya kunawa mikono (pasipo kushika vifungulio vya maji na sabuni), pamoja na vinywaji jamii ya cocacola.

Leave a Comment