×

Global Habari Mei 15 – Takukuru Yaokoa Bilioni 11 Za Vyama Vya Ushirika

Taasisi yakuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanikiwa kuokoa kiasi cha Shiling Bilion 11.3 baada yakufanyia uchunguzi ripoti ya ukaguzi wa vyama vya ushirika kwa mwaka wa fedha 2018/2019.

 

Akitoa taarifa hiyo leo Mei 15, 2020 kaimu Mkurugenzi MKuu TAKUKURU Brigedia Jenerali JOhn Mbungo amesema kuwa hadi kufikia awamu hii ya tatu taasisi hiyo imefanikiwa kuchunguza Billion 103.6… Aidha Jenerali Mbungo amemshukuru Rais magufuli kwa juhudi zake za kupamabna na rushwa nchini.

Leave a Comment