×

Mwanri Kuwashughulikia ‘Machinga’ Wasio na Vitambulisho

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri,  ametoa onyo kwa wajasiriamali watakaokaidi kuchukua vitambulisho kufuatia hatua zitakazochukuliwa na serikali wakati wa kufanya msako wa vitambulisho hivyo.

Ametoa kauli hiyo wilayani Kaliua na kusema kuwa ili kupata uhalali wa kuendelea kufanya shughuli za ujasiriamali ni lazima wawe na vitambulisho ambavyo vitalipiwa Sh. 20,000.

Pamoja na hayo, ametoa tahadhari kwa watendaji watakaoshindwa kutoa vitambulisho hivyo kwa wakati.

 

View this post on Instagram

 

RC Mwanri

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave a Comment