Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Acha Lizame’ aliyomshirikisha Harmonize. Ngoma hiyo imefanywa na Producer Kimambo huku video ikifanywa na Director Elvis.