×

JPM Atangaza Siku 3 za Maombolezo Kifo cha Nkurunziza

Rais Magufuli ametangaza maombolezo ya siku 3 kuanzia kesho tarehe 13 Juni, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza.

Leave a Comment