×

Kim Jong: Tupo tayari kwa Vita, Tutawashangaza Majirani

Korea Kaskazini imesema tayari Jeshi lake limejipanga na lipo tayari kwa mapambano dhidi ya Maadui zao wakiwemo Korea Kusini, tayari Korea Kaskazini imefunga ofisi ya ushirikiano kati yake na Korea Kusini na imewakatia mawasiliano;

 

“Majirani zetu waendelee kujipanga kwa hatua kubwa zaidi hivi karibuni, tutawashangaza.”

 

Vitendo hivi vya Korea Kaskazini vinafanyawa baada ya Korea Kusini kusambaza mabango na vipeperushi vyenye maneno ya kumkejeli Kim Jong Un.

Leave a Comment