×

Breaking: Prof Mbarawa Achukua Fomu Urais Zanzibar – Video

WAZIRI wa Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa, amechukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar akiwa mwanachama wa kumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliokuchukua wakiomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi hiyo.

Leave a Comment