×

Yanga Wamkata Mshahara Morrison, Kisa Hiki Hapa… -Video

KLABU ya Yanga ya Dar es Salaam,  leo Juni 24, 2020,  imeamua kumkata mchezaji Bernard Morrison 1,500,000/= kwenye mshahara wake kwa kile kilichosema aliitisha chombo cha habari kambini bila ya ruhusa ya uongozi wa klabu.

Vilevile, kulingana na taarifa kwa umma iliyotolewa na klabu hiyo, Yanga imsema iliingia mkataba wa awali na mchezaji huyo Januari 15, 2020 ambao utamalizika Julai 14, 2020 na baada ya kuridhishwa na uchezaji wake, aliongezewa mkataba mwingine wa miaka miwili ambao utamalizika Machi 20, 2022.

Taarifa hiyo inafuata hapa chini:

EXCLUSIVE: MORRISON Afunguka MKATABA Wake YANGA – “SIJUI Nini KILITOKEA, NAKASIRIKA Yanayoendelea”

Leave a Comment