Exclusive na Saniniu Laizer, moja ya wachimbaji wadogo wadogo wa madini Mirerani mkoani Manyara, ambaye ametangazwa bilione baada ya kuchimba madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 14 na gram kadhaa, Amemuomba Rais Magufuli kuweka miundo mbinu Rafiki katika Migodi ya Mererani.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx