Yote haya utayapata ndani ya Gazeti la Risasi Jumatano ya leo!
Global Publishers
November 3, 2015
0 Comments

-Wafanya kufuru; Ray Kigosi na Steve Nyerere wamfanyia kufuru mwanamuziki Christian Bella. Je, wajua ni kufuru gani hiyo?
-Hii kali ya mwaka; OFM yanasa wagonjwa wakiosha vyombo kwenye masinki ya vyoo, ni wapi huko? ilikuwaje?
-Jeuri ya fedha; Nelly Kamwelu anunua Lipstick kwa Mil. 6, unataka kuiona?
KUJUA UNDANI WA HAYO YOTE NA MENGINE MENGI, USIKOSE KUSOMA GAZETI LAKO LA RISASI JUMATANO KESHO.