×

Mkurungezi Mtendaji wa Tigo Simon Karikari atembelea banda Tigo SabaSaba

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipimwa Joto la mwili kabla ya kuingia katika banda la Tigo mapema leo ikiwa ni moja ya tahadhari ya Tigo kwa wateja wake.Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa sabasaba

Bw.Simon Karikari akipokea maelezo Kutoka kwa mtoa huduma wa Tigo alipotembelea banda la Tigo patika maonesho ya sabasaba .

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipata maelezo Kutoka kwa watoa huduma kuhusu huduma ya Tigo pesa

Leave a Comment