Miongoni mwa matukio ya kutisha kwa mwaka huu ni tukio la mauaji lililotokea mkoa wa Pwani, ambapo Shamba Boi Yasin Abdallah aliwaua watoto wawili wa bosi wake kisha na yeye kuuawa na wananchi wenye hasira. Simulizi ya mkasa mzima ipo Global TV Online, Baba mzazi na mwenyekiti wasimulia tukio lilivyo kuwa.
TAZAMA VIDEO NZIMA HAPA