ALIYEKUWA mwanamuziki wa nyimbo za taarab nchini, na akaacha kwa muda, Mzee Yusuph, leo Juni 15, 2020, amesema ametenga siku na eneo maalumu ambalo ni Ukumbi wa Taifa wa Burdani wa DAR LIVE ulioko Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam ili kutangaza rasmi kurejea kwake katika ulingo wa muziki.
Msanii huyo maarufu ameyasema hayo akizungumza katika mahojiano na Global Radio Online akisisitiza atarejea stejini.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx