MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amemshushia kichapo mpenzi, Huncho wake hadharani kwenye usiku wa Zuchu hali ambayo ilileta sintofahamu huku walinzi wakimtoa mpenzi wake huyo nje ya hafla hiyo.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx