NAIBU Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ameongoza kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Siha, Kilimanjaro kwa kupata kura 148.
Amefuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Tabora, Aggrey Mwanry mwenye kura 147 nafasi ya tatu ikishikwa na Tumsifu Kweka aliyepata kura 53.