×

Mnyeti Kidedea Misungwi, Amshinda Kitwanga

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, ameibuka kidedea katika kura za maoni Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) .

Mnyeti ameongoza kwa kura 406 akifuatiwa na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Charles Kitwanga, aliyepata kura 260.

Leave a Comment