#BreakingNews: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kama ifuatavyo: Uteuzi wa kiti cha Rais, Ubunge na Udiwani Agosti 25, kampeni zitaanza Agosti 26 mpaka Oktoba 27, 2020, Uchaguzi Mkuu utafanyika Jumatano, Oktoba 28, 2020.