×

Azam FC Kusajili 15 Wapya

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa umempa ruhusa kocha wa timu hiyo, Aristica Cioaba raia wa Romania kusajili wachezaji kufikia hata 15 kwa ajili ya kukiboresha kikosi chao ili kufanya vizuri msimu ujao.

 

Azam FC msimu huu imekuwa katika kiwango cha kupanda na kushuka huku ishindwa kutwaa kombe lolote pamoja ruhusa ya kufanya usajili wa wachezaji wengi hata kama watafika 15.

 

“Msimu unaofuata utakuwa ni msimu wa kupambana kuhakikisha tunafanya vizuri tofauti na ilivyokuwa msimu huu ndio maana utaona kocha amepewa uhuru wa kusajili wachezaji wengi ambao anawahitaji.”

UCHAMBUZI, BURIANI RAIS MSTAAFU BENJAMINI WILLIAM MKAPA

Leave a Comment