Nafasi ya Kazi Parliament of Tanzania – Msaidizi wa Maktaba
POST DETAILS
POST MSAIDIZI WA MAKTABA DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER Parliament of Tanzania
APPLICATION TIMELINE: 2020-07-24 2020-08-06
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuandikisha wasomaji;
ii. Kupanga vitabu katika rafu (shelves);
iii. Kuazimisha na kupokea vitabu vilivyoazimwa;
iv. Kukarabati vitabu vilivyochakaa; na
v. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Kazi.
>> CLICK HERE TO APPLY <<
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV ambao wamefaulu
Mafunzo ya Wasaidizi wa Maktaba (Library Assistants Certificates Course)
yanayotolewa na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania au wenye Cheti
kinacholingana na hicho kutoka kwenye Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION PSSB