RAIS Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid Al-Adha Kimkoa iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Ilulu, Lindi mjini.

Dkt Kikwete ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete.