×

Ayoub Lyanga Atua Azam FC, Afuzu Vipimo Vya Afya

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Ayoub Lyanga, amefuzu vipimo vya afya  leo Agosti 2, 2020  tayari kabisa kumaliza taratibu za kujiunga na Azam FC kuelekea msimu ujao.

Leave a Comment