×

Waziri Mwakyembe Azindua Kanuni Mpya Za Bodi Ya Filamu

Waziri Mwakyembe akizungumza kabla ya uzinduzi huo.

Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo amezindua kanuni mpya za Bodi ya Filamu nchini ambapo zitawapa unafuu wadau wa tasnia hiyo.

Waziri Mwakyembe amezindua kanuni hizo baada ya kufanyiwa mchakato wa muda mrefu na wadau wa tasnia hiyo waliokuwa wakilia kubanwa na kanuni zilizokuwa zikitumika hapo awali.

Wadau wakiwa makini kumsikiliza Waziri Mwakyembe.
Mkutano ukiendelea.
Waziri Mwakyembe akionesha kitabu chenye kanuni hizo mpya baada ya uzinduzi huo.

HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS /GPL

Leave a Comment