×

Rais Magufuli Afanya Mabadiliko, Ateua DC Mpya Ilala

Rais Dkt. John Magufuli leo Jumapili, Agosti 9, 2020 amefanya mabadiliko na kumteua Bw. Ngw’ilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, akichukua nafasi ya Bw. Mussa Ramadhan Chogelo aliyepangiwa kazi maalum katika Ofisi ya Rais.

Leave a Comment