The House of Favourite Newspapers

Irene Robert – “Shepu Yangu Inanipa Changamoto”

0

Miongoni mwa mastaa waliobarikiwa kuwa na shepu bomba ni mwanamuziki wa injili, Irene Robert, ambaye licha ya kuvaa nguo za kujistiri lakini bado ameshindwa kulificha umbo lake….

Irene Robert, ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya unaoitwa SIDONDOKI, amesema amekuwa akipata changamoto sana kutokana na umbo lake hasa anapokatiza maeneo yenye watu wengi, ambapo kuna wakati watu wanambeza kuwa hafai kuimba injili alipaswa kuimba Bongo fleva au kuwa video Queen….

“Napata tabu sana kwenye kuvaa, naweza kutumia hata masaa mawili kutafuta nguo ambayo itanifanya niwe na ujasiri hata ninapopita mbele za watu, kwani ikinibana kidogo tu shepu ikajichora, basi mizunguko yangu itakuwa michache haraka nitarudi nyumbani” Irene Robert

 

TAZAMA VIDEO YAKE HAPA CHINI

Leave A Reply