×

Samia Ahitimisha Maonyesho Kizimkazi 2020

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Wilaya ya Kusini Unguja alipowasili leo Agosti 13,2020, katika Kijiji cha Kizimkazi  kuhudhuria Maadhimishio ya Siku ya Wakizimkazi yafanyikayo kila mwaka kijijini hapo. 

…Akiangalia moja ya mikoba ya uki inayotengenezwa na wajasiriamali.

…Akipokea bendera ya muungano kutoka kwa vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM.
…Akisalimiana na viongozi wa kituo Assalam Community Forndation.

Leave a Comment