Pambano la kwanza la wanawake katika ukumbi wa Mlimani City limeisha kwa ndani ya raundi nne na Feriche Mashauri (mwenye bukta nyekundu) kushinda kwa pointi 40 kwa 36 kutoka kwa kila jaji.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



