×

Video: Harmonize Afunga Shoo ya Kihistoria Uwanja wa Uhuru

Msanii Harmonize amefanya Bonge la Shoo kwenye Tamasha UHURU KUNA JAMBO ambapo Chama Cha Mapinduzi kimezindua nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni zake za uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

 

Leave a Comment