×

Tujikumbushe Kampeni za Magufuli 2015, Magufuli Aunguruma Iringa

Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Iringa mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Samora.

Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa ambapo aliwaeleza wananchi wa hapo kuwa ana historia na mkoa huo kwani alisoma hapo na alishafanya mazoezi ya kufundishia hapo hivyo atahakikisha mkoa huo unakuwa vizuri kimaendeleo.

Sehemu ya Umati wa wakazi wa Iringa mjini waliofurika kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi mji wa Iringa kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Samora.

Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha na mfanyabiashara wa Iringa Salim Abri Asas ambaye ametoa ajira kwa vijana zaidi ya 400 kwenye viwanda vyake .

Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea ubunge wa jimbo la Iringa mjini kupitia CCM Frederick Mwakalebela .

JB akiongea kwa niaba ya Wasanii wenzake wa Filamu za Kibongo wanaowakilisha Team Bajaj ambao wao pia wanamuumnga mkono Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.

Wasanii wakionesha upendo wao kwa Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe MagufuliMgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani Ndugu William Lukuvi akihutubia wakazi wa Iringa mjini wakati wa mkutano wa kumnadi Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli

Leave a Comment