WANAMUZIKI wa singeli, Man Fongo, Mzee wa Bwax, Msaga Sumu na Malkia Mimah wanatarajiwa kufanya bonge la shoo katika tamasha la Jiji Concert litakalofanyika Jumamosi ya Agosti 22, katika Uwanja wa Taifa wa Burudani DAR LIVE Uliopo Mbaga Zakhem jijini Dar.
