×

Mashabiki Wafurika Simba Day Uwanja wa Mkapa – ( Picha + Video)

Kutoka Uwanja wa Mkapa Kilele cha Simba Day leo Agosti 22, 2020 mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona timu yao dhidi ya Vital’O ya Burundi katika mchezo wa kimataifa wa kirafi ki.

Umati wa mashabiki wa Simba wakiwa katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Slaam.
…Shangwe za mashabiki zikiendelea.

(PICHA NA RICK NA NICO TRAC, UWANJA WA TAIFA)

Leave a Comment