Treni ya Abiria Yawasili kwa Mara ya Kwanza Baada ya Miaka 30
Global Publishers August 25, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Mamia ya wananchi wa Jiji la Arusha, wamejitokeza kuipokea treni ya abiria iliyowasili kwa mara ya kwanza ikitokea Moshi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kusitisha safari zake zaidi ya miaka 30 iliyopita.